Sheria na Sera

Sehemu hii inalenga kutoa dokumenti zinazohusiana na utamaduni wetu kama vile sheria, sera, hotuba au matamshi na miongozo mbalimbali ya viongozi na watu maalufu katika masuala ya utamaduni. Lakini pia kulingana na maana nzima ya utamaduni hapa kutawekwa na sheria na sera nyingine maadam zipo kwa ajili ya usitawi wa jamii yetu. (DOKUMENTI HIZI ZIMEPATIKANA KWA ISANI YA MTANDAO na zimekusanywa hapa kukusaidia kupata rejea kwa urahisi)

ACTS

Leave a comment